Graduation ya UKWATA Kidato cha Sita jumamosi 18/03.
Wahitimu kidato cha Sita . Graduation ya dini kikundi cha wanaASSA. HONGERENI 👏🏾
Congratulations to our brothers ASSA members who graduated yesterday @KitungwaAdventistSecondarySchol
Timu ya Shule ya Mzumbe Secondary ikifurahia ushindi wa mabao 3-1 baada ya mchezo wao na shule rafiki ya Kibiti Secondary #1
ACADEMIC TOUR#2
Wanafunzi wa Mzumbe Secondary form5&6 Arts wafanya discussion katika masomo Yao na shule ya Barbro Johansson Model Girls wiki iliyopita in Dar es Salaam. #1
Science Exhibition
Our school Biology Laboratory
Charity Exhibition
Wachezaji wa Ngoma ya Mganda #2
Baadhi ya Wanafunzi waliocheza ngoma ya asili ijulikanayo kama mganda ambao walishiriki kwenye mashindano ya UMISETA mwaka huu...
Wanafunzi wa Kidato cha Nne katika Mahafali Yao ya kidini #UKWATA
From left: Kiongozi wa Scout John Samson fm3, Mgeni rasmi -Katibu tawala wa wilaya ya Mvomero, Mkuu wa Shule Mwl. W.A. Kihongosi
Moja ya mahafali ya kidato cha nne(4) . Mgeni rasmi (mwenye scout scarf) akitembelea banda la Science exhibition
MZUMBE MPYA INAWEZEKANA ...