About

Mathayo
28:19-20 "basi enendeni
mkawafanye mataifa yote kuwa
wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la
Baba na la Mwana na la Roho...........

Tags : #CatholicChurch, #ChristianChurch, #ReligiousOrganization

Location :
Moshi Tanzania, +255 Old Moshi

Description

Hii ni huduma iliyoko chini ya kanisa la T.A.G Inayoongozwa na Mch. Allen E. Lekey wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Betheli Mdawi, ambaye pia ni Mwinjilisti anayehubiri maeneo mbalimbali nchini katika nchi nzima ya Tanzania na nje ya nchi.

Rate & Write Reviews