Movie Theater

Bongo Movies Plus

About

Bongo Movies Plus ni page iliyotengenezwa kwa ajili ya kuwafikia wapenzi wote wa bongo movies, ndani na nje ya nchi kupitia Facebook.

Dhumuni ni kuwezesha wadau kupata taarifa mbalimbali na yanayoendelea katika tasnia ya filamu nchini.

Location :
Contacts :

Description

Karibu Bongo Movies Plus.

Page ya wapenzi na wenye mahaba na movie za kibongo. Tazama full bongo movies bure katika page hii pia pata taarifa mbalimbali zinazohusu tasnia hii ya filamu nchini Tanzania.

19 Reviews

  • Anynomous
    22 December 2017

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amefanya uteuzi wa wajumbe nane kuunda kamati ya kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month). “Tumeongeza idadi ya wajumbe wa Kamati ya Mwezi wa Urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month) ili kupata uwakilishi wa Zanzibar na Vijana. Kamati hii itafanya […]

  • Anynomous
    22 December 2017

    One advise I consistently give my kids is to concentrate on school. In my humble opinion and experience, school is the most comfortable thing they will ever do on earth. What I mean is that after college everything else is hard. I don’t suggest to take away the challenges of learning. Exams can be tough. […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Baada ya kupatanishwa katika jukwaa la Fiesta, Vanessa Mdee amejibu iwapo yeye na Jux mapenzi wao yamerudi rasmi kama zamani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

  • Anynomous
    21 December 2017

    Msanii Busy Signa ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Stay So’, video imeongozwa Dameon Gayle. Itazame hapa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

  • Anynomous
    21 December 2017

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba na Makamu wa Rais, Samia Suluhu wamefanya uzinduzi wa programu endelevu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani kwa kupanda miti iliyofanyika kwenye chanzo cha maji cha bonde la Makutupora mjini Dodoma. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Picha za Prince Harry na mpenzi wake Meghan Markle walizosherehekea kuvalishana pete ya uchumba mapema mwezi uliopita zawekwa hadharani. Picha hizo zilipigwa na mpiga picha maarufu wa picha za mitindo, Alexi Lubomirski. Ndoa ya Harry na Markle inatarajiwa kufungwa May 19, 2018 huko St. George’s Chapel, Windsor Castle nchini Uingereza. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Mkali wa muziki wa Singeli Bongo, Msaga Sumu anatarajia kuweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa muziki huo kutoa albamu. Muimbaji huyo amesema albamu hiyo inakwenda kwa jina la Mwanaume Mashine na itatoka December 26 mwaka huu. Ameongeza kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo 12 zenye ladha tofauti tofauti ambazo amezifanya kwa maproducer wakubwa […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Tanzania imezidi kudidimia kwenye viwango vya soka duniani baada ya kushuka kwa nafasi 5 zaidi kwenye viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa mwezi Novemba. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na FIFA, inaonyesha Tanzania inashika nafasi ya 147 kutoka 142 mwezi Oktoba, ikiwa imeporomoka kwa nafasi tano kutoka juu. Kwa Uganda wa Afrika Mashariki na […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Hatimaye msanii wa muziki kutoka kundi la Shinee Korea Kusini, Kim Jong-hyun ambaye alijinyonga Jumatatu hii amezikwa leo. Mwili wa marehemu Jonghyun ambaye alikuwa na umri wa miaka 27 ulikuwa umehifadhiwa katika hospitali ya Asan Medical Center kabla ya kuzikwa leo mjini Seoul. Watu mbalimbali wamehudhuria katika mazishi hayo wakiwemo wasanii wenzake wa kundi la […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Kampuni ya simu (TTCL) imetaka kurudishiwa mara moja kampuni ya Airtel kwa kuwa umiliki wake si halali. Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Omar Nundu na Ofisa Mtendaji Mkuu,Waziri Kindamba wameiomba serikali kuingilia kati katika suala hilo. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Faustine Ndugulile amewataka wananchi kutoa subiri kila kitu kifanywe na serikali wakati akishiriki kazi ya ujenzi wa shule ya msingi Chambasi Wilayani Kisarawe. Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Dk. Ndugulile amesema kuwa kwa kipindi kirefu dhana ya wananchi kujitolea katika kufanya kazi za […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo amezungumza mambo mengi katika uzinduzi wa programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani. Haya ni baadhi ya mambo 9 aliyoyazungumza mjini Dodoma; -Tupunguze ukataji miti na uvunaji wa miti uzingatie sheria zilizopo. -Taasisi za serikali zitunge sheria ndogo za kusimamia shughuli za mazingira. […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Msanii wa mkongwe muziki Bongo, Soggy Doggy amesema kipimo cha ukubwa wa mwanamuziki ni idadi ya albamu alizonazo sokoni. Soggy ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kwa sasa wanapaswa kulijua hilo na kutumia fursa ya kimtandao pamoja na idadi ya mashabiki wanaokutana nao katika show ili kuuza albamu. “Bado kuna umuhimu mkubwa sana, hata duniani […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Malkia wa filamu, Jack Wolper amefunguka kuzungumzia namna alivyofukuzwa kwao baada ya kuamua kwenda kuuza sabuni Kariakoo. Muigizaji huyo amedai wazazi wake waliona anaidhalilisha familia yao. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Watu zaidi ya 14 wamejeruhiwa kwa kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo kasi katika mji wa Melbourne nchini Australia. Ajali hiyo iliyotokea imetajwa kutokea katika makutano ya barabara za mtaa wa Elizabeth na Flinders mjini humo mapema leo ambapo miongoni mwa watu waliojeruhiwa ni mtoto mdogo ambaye hali yake siyo nzuri. Hata hivyo polisi […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Rapper kutoka nchini Kenya, Khalighaph Jones ameachia ngoma mpya ‘Omollo’, producer wa ngoma hii ni Aress 66. Isikilize hapa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

  • Anynomous
    21 December 2017

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani amesema kuwa kwa takwimu zilizopo zaidi ya 60% ya ardhi yetu inatishiwa na hali ya jangwa. Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani inayoongozwa na Ofisi yake amesema kuwa jukumu la kupanda na kutunza miti ni jukumu […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Wabunge nchini Uganda wamepitisha mabadiliko ya Katiba ambayo ya yametoa ukomo wa umri wa Rais kusalia madarakani ambapo awali ukomo ulikuwa ni miaka 75. Kwa mabadiliko hayo yatamruhusu Rais wa sasa wa Uganda, Yoweri Museveni kuwania urais kwa muhula mwingine wa sita. Kwa maana nyingine Rais Museveni ambaye alibakiwa na miaka miwili tu kufikisha miaka […]

  • Anynomous
    21 December 2017

    Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku akipokelewa kwa shangwe na ndugu jamaa na marafiki waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege alipowasili. Wakati hasimu wake, Zari akitarajia kufanya event yake ya Zari All White Party nchini huko Uganda December 21 mwaka huu, siku hiyohiyo Hamisa naye amealikwa kwenye tamasha la Girls […]