Hi i am wahida mgonjwa wa dailysis nephroMednina malalamishi juu ya dr juma and chariti. Kuhusu timing ya kuja dailysiswamenifanya niharibu fare na mm nakaa mbali nikifika hakuna nafasi.kumaanisha hawana nidhamu ya kupangia wagonjwa kama kazi inawasumbua wapeane majukumu kwa wengine.
Jambo lengine no good food at alltunapewa chakula ya kulala kama ni chai ama lunch.mimi siwezi chakula inanisumbua tumbo other thing speace ni ndogo sana moaka unajisikia kutapika jili ya harufu.please musaidie kutatua haya matatizo.
Good services offered, keep it up
Small facility or small place good management poor food toilet is bad na muruhusu mngonjwa akae na muuguzi wake kila kitu si daktari
The staff are good but the food nt good
Great staff and thorough services