Home - Tanzania - Mtwara Region - Mtwara District Council


loading location map...
Place Types : Government Organization, Home
Address :
Coordinate : -10.2865449819, 40.1783752441
Phone :
Email :
Social : facebook.com/117007725152579
4.5K people like this.
Website : www.mtwaradc.go.tz
Opening Hours :
Monday: 07:30 - 15:30
Tuesday: 07:30 - 15:30
Wednesday: 07:30 - 15:30
Thursday: 07:30 - 15:30
Friday: 07:30 - 15:30
Saturday: 09:00 - 17:00
Sunday: -
Inappropriate listing? Request for Deletion
Like this? Embed to your site
Outdated or incorrect information? Suggest an Edit

frequently asked questions (FAQ):

 • What is the phone number of Mtwara District Council?

  You can try to find more information on their website: www.mtwaradc.go.tz

 • What is the opening hours of Mtwara District Council?

  Monday: 07:30 - 15:30
  Tuesday: 07:30 - 15:30
  Wednesday: 07:30 - 15:30
  Thursday: 07:30 - 15:30
  Friday: 07:30 - 15:30
  Saturday: 09:00 - 17:00
  Sunday: -

 • Where are the coordinates of the Mtwara District Council?

  Latitude: -10.2865449819
  Longitude: 40.1783752441

About the Business:

Mtwara District Council like other Local authorities in the Country is undertaking Government Reforms, which aim at improving budget management and service delivery at Local government levels.

What Other Say:

User (27/10/2018 00:56)
Hiki ndicho alikiongea Mhe. Byakanwa Tarehe 14/02/2018 akilenga kujinasua Mkiani kielimu, lengo ambalo limetimia kwa matokeo ya darasa la Saba 2018, Mtwara imeshika nafasi ya Nane Kitaifa. Hongera kwa RC, Walimu wote na wadau wa Elimu

User (25/10/2018 17:01)
Mtwara “yapaa” matokeo darasa la saba 2018
Yatinga kumi bora, yapata 82.18% ya ufaulu, kongole kwao walimu, wataalamu wote, wazazi. Matunda ya ziara ya mkuu wa mkoa mtwara mhe. Gelasius G. Byakanwa katika kuhamasisha elimu ya ushindani yaanza kuleta....Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/mtwara-yapa a-matokeo-darasa-la-…

User (17/10/2018 21:00)
Halmashauri ya wilaya Mtwara kwa kushirikiana na Manispaa ya Mtwara Mikindani, siku ya tarehe 16 oktoba mwaka huu, wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Manispaa ya Suqian kutoka Jamhuri ya watu wa China kwa lengo la kuendeleza fursa za maendeleo kwa jamii. Taarifa zaidi Bofyaa👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/mtwara-na-s uqian-wakubaliana-ud…

User (25/09/2018 00:25)
#Mtwara_dc_yaisambaratisha_kilwa
....Ziara hiyo ya siku mbili kimichezo, ilianzia jumamosi ambapo watumishi wa mtwara vijijini walifanya utalii wa ndani katika kisiwa cha kilwa na kujionea mambo mengi mazuri ya kihistoria, ikiwemo, kumfahamu mtawala maarufu aliyejulikana kwa jina la “Mnimbu” ambaye alidiriki kuiuza nchi ya kilwa kisiwani kwa wakoloni baada ya kubadilishana na nguo zaidi ya...Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/mtwara-dc-y aisambaratisha-kilwa…

User (09/09/2018 04:47)
Rc mtwara ainogesha mnyija kwa ng’ombe wa maziwa
Mkuu wa mkoa mtwara mhe. Gelacius G. Byakanwa, leo ameahidi kutoa ng’ombe wa maziwa kwa kijiji cha mnyija ili kuwaongezea mnyororo wa thamani katika zao la alizeti linalotumika kama malighafi ya kuzalisha mafuta na kikundi cha jitume kupitia kiwanda kidogo kilichopo kijijini hapo. Amefikia hatua hiyo mara baada ya kufurahishwa na hamasa ya maendeleo aliyoikuta miongoni mwa wanakikundi kwa ushirikiano na...Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/rc-mtwara-a inogesha-mnyija-kwa-…

User (05/09/2018 19:56)
Kwa nini wahitimu wa drs VII wanafurahi baada ya mtihani
Kuna wakati nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu (jina limehifadhiwa) ambaye tulisoma wote kuanzia shule ya awali, msingi kisha tukatengana kwa elimu ya sekondari kwakweli huyu jamaa alinistaajabisha kwa kunipiga swali moja gumu sana ambalo kitendo chake tuliwahi kukifanya wakati tuna...Bofya👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/kwa-nini-wa hitimu-wa-drs-vii-wa…

User (04/09/2018 22:10)
Wataalamu wa sekta ya kilimo mkoani mtwara siku ya jana wametembelea na kukagua vikundi vya ujasiriamali vinavyowezeshwa na shirika la agha khan mtwara vijijini ili kufanya tathmini ya miradi inayotekelezwa katika maeneo yao na kuainisha majibu ya changamoto zinazowakabili. Katika ziara hiyo wataalamu waliweza kutembelea kikundi cha....Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/wajasiriama li-waitolea-macho-ka…

User (26/08/2018 04:31)
Wananwake Tandahimba “wachinjwa” kwenye kamba
Katika hatua nyingine washiriki wa mchezo wa kukimbiza kuku kutoka mtwara vijijini waliwashangaza watazamaji na wapinzani wao baada ya kuonesha umahiri wa kunyakua kuku hao kwa upande wa wanawake na wanaume kutokana na mbio walizotumia kama silaha ya kuwafikia na kuwakamata, alipoulizwa mmoja washindi wa kukimbiza kuku Mwalimu Rehema Lyowi alikiri kuwa hizo ni....Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/wananwake-t andahimba-wachinjwa-…

User (25/08/2018 03:47)
MTWANGONET waonesha njia sahihi ya kuinua elimu mtwara
Wadau wa elimu wilayani mtwara leo hii wamesisitiza kusimamia kwa ukamilifu suala la watoto kupata chakula shuleni wakati wa masomo ili kumuwezesha kupata uelewa nzuri, kwakuwa wameshuhudia ugumu wanaopata watoto kumuelewa mwalimu wakiwa na njaa. Hayo wameyasema na kukubaliana wakati wa mdahalo uliosimamiwa na kuendeshwa na mtandao wa asasi za kijamii mtwara (MTWANGONET) kwa.....Bofya👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/wadau-wa-el imu-mtwara-wajinasib…

User (21/08/2018 23:21)
Wananchi wakubali “dozi” ya MSOAPO👇... Wananchi wa vijiji 12 vya mtwara vijijini wamefurahishwa na mafunzo waliyopata tarehe 20 agosti mwaka huu juu ya namna bora ya kujikwamua kiuchumi kupitia sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi kutoka kwa wataalamu wa shirika linalopinga umaskini kwa jamii mtwara (MSOAPO). Mafunzo hayo ya siku moja yamelenga kuwajengea uwezo wananchi ambao wapo katika vijiji 12 vinavyotekeleza mradi wa...habari zaidi bofya👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/wananchi-wa kubali-dozi-ya-msoapo

User (15/08/2018 01:43)
Uchaguzi mdogo wa marudio wa Tarehe 12 Agosti, 2018 umemalizika katika Kata mbili za #Nalingu na #Nanguruwe baada ya kutanguliwa na Ushindi wa Bila kupingwa kwa wagombea wa CCM katika Kata ya Tangazo na Muungano, kwahiyo Kata zote nne zimechukuliwa na Chama cha Mapinduzi ambapo hapo awali kata hizo zilikuwa zinaongozwa na upinzani. Mhe. Shaibu Mtavanga (Nalingu), Mhe. Ramadhani Dumbuka (Tangazo), Mhe. Hasani Likutwe (Muungano) na Mhe. Wala (Nanguruwe) MATOKEO KWA KATA ZILIZOF...ANYA UCHAGUZI👇👇 #NANGURUWE CCM-1789 CDM-657
#NALINGU CCM-962 CUF-841 #Karibuni_kazini
See More

User (21/07/2018 18:22)
#Nambeleketela_Yaiteka_Mtwara_Kielimu Shule ya msingi nambeleketela yaibuka mshindi wa jumla kitaaluma kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa katika maadhimisho ya juma la elimu kiwilaya yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 13 julai, 2018 katika viwanja vya shule ya msingi Ziwani. Kutokana na hatua hiyo, mgeni rasmi....Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/nambelekete la-yafunika-juma-la-…

User (17/07/2018 00:44)
Wanafunzi wa darasa la kwanza waonesha umahiri katika “KKK”
Wanafunzi wa darasa la kwanza na awali katika shule ya msingi ziwani na nambeleketela wameonesha umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu mbele ya mgeni rasmi na wageni waalikwa katika maadhimisho ya......Bofya👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/wanafunzi-w a-darasa-la-kwanza-w…

User (04/07/2018 23:03)
Je, wajua? Mwanadamu atakiwa kula samaki kg 200 kwa mwaka🐟🐟🐟🐠🐠🦐🦐 Mtaalamu mshauri wa ufugaji wa samaki kutoka taasisi ya Amisodago Bwana. Ayoub Michele, ametanabaisha kuwa mwanadamu mwenye afya njema anatakiwa kula jumla ya kilogram 200 za samaki kwa mwaka kitaalamu, tofauti na sasa ambapo wengi wao wanaishia kula kilogram kumi hadi ishirini. Habari zaidi Bofya 👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/je-wajua-mw anadamu-anatakiwa-ku…

User (19/06/2018 16:41)
Mtwara vijijini yatia fora miradi ya mwenge 2018^ “Kwa kweli nawapongeza sana wananchi na wataalam wa mtwara vijijini kuanzia miradi ya maendeleo na hamasa mliyotuonesha inatutamanisha sana kubaki nanyi isipokuwa ratiba ya kitaifa lazima izingatiwe, mmeweza kuutendea haki mwenge wa uhuru” alisema ndugu. Kabeho Kwa maelezo zaidi Bofya...👇👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/mtwara-viji jini-yatia-fora-mira…

User (13/06/2018 00:14)
Kilimo bora cha alizeti kutajirisha kaya maskini mtwara vijijini. Baadhi ya wakulima wakipiga na kupeta Alizeti baada ya kuvuna katika kijiji cha Mnyija.

User (12/06/2018 23:59)
Alizeti ni zao muhimu linalotoa mbegu za mafuta, zaidi ya asilimia 40 hadi 60 ya mbegu zake hutoa mafuta yasiyo na ‘rehemu’, ambapo mashudu yake utumika kama chakula kizuri cha mifugo. Pamoja na kuvumilia ukame zao hili hulimwa kwa ajili ya biashara na matumizi ya nyumbani.
Mtaalamu wa kilimo kutoka halmashauri ya wilaya mtwara ndugu. Edwin Rwegoshora, ameshauri kuwa mkulima anapaswa kutayarisha shamba lake mapema kwa kukatua ardhi na kulainisha vizuri, pia samadi inaweza kuchanganywa vizuri na udongo wakati wa...endelea kwa Kubofya 👇👇 http://www.mtwaradc.go.tz/…/kilimo-bora -cha-alizeti-kutajir…

User (10/06/2018 17:04)
Wananchi wa Kijiji cha Mgao kata ya Naumbu, Mtwara Vijijini, Mtandao wa BMU wakishirikiana na maafisa kutoka idara ya uvuvi kufanya usafi katika ufukwe wa Mgao ili kuboresha maisha ya viumbe wa bahari na wananchi waishio kando ya ufukwe huo. 

Similar Places:

1. Mchuchu Water Supply
Jangwani, Ó Old Mikindani, Tanzania
Coordinate: -10.2790297205, 40.1107135102

2. Cashewnut Board Of Tanzania
Tanu Road, Mtwara, Mtwara, Tanzania
Coordinate: -10.2681763267, 40.1872372627
Phone: +255232333536 (www.cashew.go.tz)

3. Ligula
Mtwara, Tanzania
Coordinate: -10.2838854829, 40.176922586

Copyright © 2016 - 2022 ..
VYMaps.com | About Us | Privacy Policy | Listing Submission | Sitemap .