Ni wauzaji wa vioo vya magari aina zote. Tunapatikana Magomeni Makuti mtaa wa Mlandizi Dar es Salaam.